We are pleased to launch the inaugural Mwangaza Award, recognizing nonprofit organizations demonstrating exceptional, sustained, and transformational impact in Early Childhood Education (ECE) across Pwani Region and Pemba North.
๐ฐ Award: TZS 50,000,000 each for two selected organizations
We honor demonstrated resultsโnot promises of future impact.
If your organization is delivering meaningful, measurable results for young children in Pwani Region or Pemba North, we encourage you to apply.
๐ Apply for the 2026 Mwangaza Award
โฑ๏ธ Application completion time: approximately 30โ45 minutes. A Google account is required for document uploads.
Tunafurahi kutangaza uzinduzi wa Tuzo ya kwanza ya Mwangaza, inayotambua mashirika yasiyo ya faida yanayoonyesha matokeo bora, endelevu, na yenye mabadiliko makubwa katika Elimu ya Awali (ECE) katika Mkoa wa Pwani na Kaskazini Pemba.
๐ฐ Tuzo: Shilingi 50,000,000 kwa kila shirika kati ya mashirika mawili yatakayochaguliwa
Tunatambua matokeo yaliyodhihirishwaโsi ahadi za matokeo ya baadaye.
Ikiwa shirika lako linaonyesha matokeo yenye maana na yanayoweza kupimika katika kuboresha maisha na maendeleo ya watoto wadogo katika Mkoa wa Pwani au Kaskazini Pemba, tunakuhimiza kuomba Tuzo hii.
๐ Omba Tuzo ya Mwangaza ya 2026
โฑ๏ธ Kukamilisha maombi kunakadiriwa kuchukua dakika 30โ45. Akaunti ya Google inahitajika ili kupakia nyaraka.